• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Elimu Sekondari

IDARA YA ELIMU SEKONDARI

 

UTANGULIZI 

Idara ya Elimu Sekondari ni miongoni mwa idara zilizopo katika Halmashauri ya Mji wa Makambako, ikiwa na jukumu kuu la kusimamia maendeleo ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri.

MUUNDO WA IDARA YA ELIMU SEKONDARI KATIKA NGAZI YA HALMASHAURI

 


 

WATUMISHI WA IDARA YA ELIMU SEKONDARI NA MAWASILIANO


NA
JINA
CHEO/WADHIFA
SIMU NA
1
AGNES  ANACLETUS LUHWAVI
AFISA ELIMU SEKONDARI (MKUU WA IDARA)
0767 128465
2
JOSEPH STEPHEN MWINUKA
AFISA ELIMU TAALUMA
0768 803588
3
ANETH YEHOSWA MBAJO
AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU
0767 595209

MAJUKUMU YA AFISA ELIMU SEKONDARI KATIKA NGAZI YA HALMASHAURI

Yafuatayo ni majukumu ya Idara ya Elimu Sekondari katika ngazi ya Halmashauri.

  • Kuiwakilisha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika Halmashauri kuhusu masuala ya Elimu Sekondari.
  • Kusimamia utekelezaji wa sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Sheria na Kanuni zinazoongoza utoaji wa Elimu ya Sekondari.
  • Kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu masuala yote ya Elimu ya Sekondari.
  • Kusimamia upanuzi wa Elimu ya Sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia haki na maslahi ya walimu na watumishi wengine wa ngazi ya Elimu ya Sekondari katika Halmashuari.
  • Kusimamia na kudhibiti akaunti ya Elimu ya Sekondari na kuhakikisha kuwa fedha za Elimu ya Sekondari zinatumika kama ilivyokusudiwa.

MKUU WA IDARA YA ELIMU SEKONDARI Bi.AGNES A.LUHWAVI


  • Kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Sekondari katika Halmashauri.
  • Kufuatilia na kutathmini maendeleo ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri.
  • Kuhakikisha kuwa Shule zote za Sekondari katika Halmashauri zinainua ubora wa mazingira ya kujifunzia na kujifundishia ikiwa ni pamoja na utunzaji wa madarasa, nyumba za walimu, maabara na maktaba na vyoo.
  • Kusimamia tathmini ya wazi ya utendaji kazi (Open Performance Review and Appraisal System- OPRAS) kwa walimu na watumishi wa Sekondari.
  • Kuhimiza udhibiti wa nidhamu ya walimu, watumishi na wanafunzi wa shule za Sekondari katika Halmashauri.
  • Kufanya kazi nyingine zinazotolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri

 

KAZI ZA AFISA ELIMU TAALUMA SEKONDARI

  • Kuongoza kitengo cha taaluma.
  • Kutoa ushauri wa kitaaluma katika Shule za Sekondari.
  • Kuratibu na kusimamia taaluma kwa ujumla.
  • Kuhakikisha walimu wa Shule za Sekondari wanapangwa katika shule kwa kuzingatia ikama inayokubalika.
  • Kufuatilia na kusimamia utekelezaji wa taarifa za Ukaguzi wa Shule za Sekondari.
  • Kubuni na kuratibu mipango ya mafunzo kazini kwa walimu na watumishi wengine wa Shule za Sekondari.
  • Kuratibu na kusimamia  mitihani ya kitaifa inayoendeshwa kwa shule za sekondari katika Halmashauri. Kubuni mipango ya mitihani ya Elimu ya Sekondari na kusimamia utekelezaji wake
  • Kuratibu mashindano ya michezo na taaluma ya Shule za Sekondari katika Halmashauri.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopewa na Mkurugenzi wa Halmashauri au Afisa Elimu wa Elimu ya Sekondari wa Halmashauri.


KAZI ZA AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU SEKONDARI

  • Kuongoza kitengo cha Vifaa na Takwimu.
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya utunzaji wa takwimu katika Shule za Sekondari.
  • Kuratibu na kusimamia vifaa na takwimu katika Shule  za Sekondari
  • Kuagiza na kusambaza vifaa vya Shule kufuatana na mahitaji ya  kila Shule.
  • Kufuatilia mapato na matumizi ya fedha katika Shule za Sekondari.
  • Kusimamia na kufuatilia ukarabati ,upanunzi na ujenzi wa Shule za Sekondari.
  • Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa utoaji huduma mbalimbali kwa wanafunzi, walimu na watumishi wasio walimu.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopewa na Mkurugenzi wa Halmashauri au Afisa wa Elimu wa Elimu ya Sekondari wa Halmashauri.


MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

  • Idara imefanikiwa kusimamia utekelezaji wa maendeleo ya Elimu ya Sekondari katika halmashauri kama ifuatavyo:
  • Kuiwakilisha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika Halmashauri kuhusu masuala ya Elimu Sekondari.
  • Kusimamia utekelezaji wa sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Sheria na Kanuni zinazoongoza utoaji wa Elimu ya Sekondari.
  • Kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu masuala yote ya Elimu ya Sekondari.
  • Kusajili wanafunzi wote wa Kidato cha Kwanza wanaofaulu kujiunga na Kidato cha kwanza pamoja na ongezeko la idadi yao kila mwaka.
  • Kuongeza idadi ya madarasa kila inapowezekana. Mfano mwaka 2018/2019 madarasa 20 kwa ushirikiano wa Halmashauri, jamii na Serikali kuu yalijengwa. na hivyo kuinua ubora wa mazingira ya kujifunzia na kufundishia.
  • Kuongeza kiwango cha ufaulu wa mitihani ya kitaifa kwa Mitihani ya Kidato cha Nne, Sita na Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili,na hivyo kupanda ngazi kimkoa na kitaifa kama inavyoonesha katika jedwali lifuatalo kwa Mitihani ya Kidato cha Nne:-



MATOKEO YA MITIHANI YA CSEE KWA MIAKA MITATU MFULULIZO (2016-2018)

MWAKA
WATAHINIWA
WALIOFAULU
%YA UFAULU
GPA
NAFASI KIMKOA
NAFASI KITAIFA
2016
992
873
88.0
3.9079
5
35
2017
1280
992
77.5
4.0437
4
114
2018
1355
1159
85.54
3.8753
3
     69                                        


Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA JANUARI-2021 December 19, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2018 July 13, 2018
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Mji wa Makambako May 18, 2019
  • Fungua

Habari Mpya

  • UKAGUZI WA vikundi

    December 30, 2020
  • Ukaguzi wa kikundi

    December 30, 2020
  • ukaguzi wa vikundi

    December 30, 2020
  • Ukaguzi wa vikundi

    December 30, 2020
  • Fungua

Video

Maelekezo kuelekea Uchaguzi Mkuu octoba Mwaka huu.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0767633415

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa