Idara ya Fedha ni miongoni mwa Idara za Halmashauri ya Mji wa Makambako.
Idara ya Fedha ina vitengo vikuu vinne;
Idara ya Fedha na Biashara ina kazi zifuatazo: -
Hali ya sasa ya shughuli za idara
Halmashauri ya Mji wa Makambako ni kati ya Halmashauri zinazotumia mifumo katika kutekeleza shughuli zake za kifedha. Moja ya mfumo ni wa ukusanyaji wa Mapato ya Serikali za Mitaa (LGRCIS). Mfumo huu umeunganishwa moja kwa moja na TAMISEMI ambapo sever iko, kila muhamala unaoingizwa kwenye mfumo huu unapatikana TAMISEMI. Mfumo huu wa ukusanyaji wa mapato hurahisisha ukusanyaji kwa kutumia Mashine ya Ukusanyaji mapato (POS) ambayo hupokea malipo katika sehemu ambayo kazi hufanyika. Kuna mashine 66 za POS zinazofanya kazi.
LGRCIS imeunganishwa na Benki ya NMB, ambapo mteja anapewa nambari ya utambulisho(control number) kwa madhumuni ya kufanya Malipo mbalimbali (kama ada ya Huduma, ushuru wa hoteli, ada ya Leseni, n.k) katika tawi lolote la NMB.
Halmashauri ya Mji wa Makambako inatumia mfumo wa Uhasibu wa Epicor katika kufanya malipo yote, kutuma risiti za mapato, upatanishi wa benki na kutoa cheki kupitia mfumo. Pia mfumo wa uhasibu wa Epicor unajumuisha na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ambapo malipo yote hufanywa kupitia TISS.
Kitengo cha biashara:
Kitengo cha biashara kiko chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Lakini katika Serikali za Mitaa iko chini ya Idara ya Fedha inayofanya kazi zifuatazo:
WATUMISHI WA IDARA
MKUU WA IDARA YA FEDHA NA BIASHARA
ROBERT S.SINNA- +255754495963
WAKUU WA VITENGO
1.MKUU WA KITENGO CHA MAPATO
ANDREA W.MTEWA +255715327676
2.MKUU WA KITENGO CHA MATUMIZI
OKOA I. FUNGO +255759364433
3.MKUU WA KITENGO CHA UFUNGAJI WA HESABU
SUPHIAN JUMA +255713052236
4.MKUU WA KITENGO CHA BIASHARA
CARLOS J. MHENGA +255754232923
WAHASIBU KATIKA IDARA.
1
|
ADELA MGAYA
|
+255620204216
|
2
|
FAUSTA B.NDITI
|
+25575491032
|
3
|
KLODWICK MAPUNDA
|
+255763884244
|
4
|
LOYCE MAIGA
|
+255764226008
|
5
|
MAURISIO NGWETA
|
+255758503850
|
6
|
MOSES SANGA
|
+255758503850
|
7
|
PRISCUS J.MUSHI
|
+255754551610
|
8
|
DISMAS MATEMBO
|
|
MAAFISA BIASHARA
1
|
APPIA V. MWALONGO
|
+255752460406
|
2
|
DEBORA J.MBILINYI
|
+255755267955
|
3
|
FLORENCIA NGUNANGWA
|
+255754300490
|
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0767633415
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa