JUKUMU LA IDARA:
Jukumu la Msingi la Idara ya Utumishi na Utawala ni kusimamia matumizi bora yenye ufanisi ya Rasilimali watu katika kutoa huduma kwa kuhakikisha Rasilimali watu inatumiwa kutekeleza shughuli za Halmashauri kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu zilizopo.
Halmashauri ina jumla ya watumishi 1509 ambao wanatumikia katika kadi mbali mbali
Kazi zinazofanywa na Idara.
Ili kutimiza jukumu la msingi lililotajwa hapo juu Idara inatekekeza shughuli zifuatazo:-
Watumishi katika idara
MKUU WA IDARA
NORBETHA NYONI +255758742601
MAAFISA UTUMISHI
HAMZA MANDWANGA +255753766700
LUCY NGODITA +255763077862
MAGRETH KILAWE +255762716526
TULLY SANGA +255753373258
WAANDISHI WA VIKAO
DAMAS MAYANJA +255767825023
RAJAB KANGALAWE +255625682923
ALBERT MINJA +255763712070
MAKATIBU MUKTASI
RIZIKI KULANGA
HAJIRA MAGESA
MARRY MKONGO
USIMAMIZI WA NYARAKA NA KUMBUKUMBU
MARIAM MTWEVE
ELISHA LUSATO
DAVID MBUNDA
EMMANUELA MAGIMBO
LUCY MUNG'ULISA
IMELDA L.FUTE
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0767633415
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa