Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana ni miongoni mwa Idara ambazo zinaunda Halmashauri ya Mji wa Makambako.
Idara ina malengo ya kuwezesha jamii kutambua hali yao ya Uchumi kwa kuweka kipaumbele mahitaji yao na kutafuta njia ya kujikwamua kimaendeleo.
Idara hii imekuwa kama kichocheo katika mchakato wa maendeleo kwa kuboresha hali ya maisha ya watu.
Hii inawezekana kwa kufanya yafuatayo:
Idadi ya wafanyakazi kwenye idara........
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0767633415
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa