• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Katibu tawala wilaya ya Njombe

Tarehe iliyowekwa: February 17th, 2021

Pichani ni viongozi mbalimbali waliohudhuria katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa MakambAko katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako ,:Wageni meza kuu ni pamoja na, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Paulo Malala ,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Ndg Hanana Mfikwa ,Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Makambako salum Mlumbe na katibu tawala wa wilaya ya Njombe Ndg Emanuel George ,katika Baraza hilo katibu tawala wilaya ya Njombe amezungumzia suala la ununuzi  wa gari uliofanywa na Halmshauri ya Mji wa Makambako ,ununuzi wa gari la kubeba taka ambalo limenunuliwa kwa gharama ya shilingi million sabini na mbili ambapo ameshauri kama kuna uwezo wa kunua gari la pili basi iwe hivo kutokana na uhitaji hasa wa kuifanya Makambako kuwa safi na salama ,Pia zoezi la wazazi kuchangia chakula shule ambapo  amewaomba Madiwani ,Watendaji kujitoa hasa katika suala la kuhamasisha wazazi kutoa michango ya chakula kwa watoto wao mashuleni kwa lengo la kuwasidia watoto kupata chakula pindi wanapokuwa shule , Pia amezungumza suala la watendaji kufauta sheria za nchi na mamalaka husuka hasa katika suala zima la usalama ,wafanye kazi za kuwatumikia wananchi kwa umakini na weledi  mkubwa sambamba  na kusimamia zoezi la ukusanyaji wa mapato  ya Halmashauri kwa wakati .

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA JANUARI-2021 December 19, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2018 July 13, 2018
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Mji wa Makambako May 18, 2019
  • Fungua

Habari Mpya

  • Mbunge

    February 26, 2021
  • Wajumbe.

    February 26, 2021
  • Mkurugenzi

    February 26, 2021
  • Gari

    February 26, 2021
  • Fungua

Video

Maelekezo kuelekea Uchaguzi Mkuu octoba Mwaka huu.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0767633415

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa