IDARA YA UJENZI
MAJUKUMU YA IDARA YA UJENZI
Idara ya ujenzi ina majukumu yafuatayo:-
-Kusimamia miradi yote ya ujenzi wa majengo ya serikali kama shule na vyuo vya afya ndani ya halmashauri.
-Kutoa vibali vya ujenzi kwa wananchi wanaotaka kujenga nyumba za kuishi na nyumba za biashara.
-Kukagua ujenzi wa majengo ya serikali na binafsi kuhakikisha taratibu zote za ujenzi zinafuatwa na kuchukua hatua za kisheria endapo jingo/majengo hayana viwango vinavyotakiwa.
-Kushirikiana na idara ya manunuzi kufanya tathimini (evaluation) ya wazabuni na makandarasi ambao wameomba kufanya shughuli za ujenzi na usambazaji wa vifaa vya ujenzi katika miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya halmashauri.
MUUNDO WA IDARA YA UJENZI
1. MKUU WA IDARA
Mhandisi wa ujenzi wa Halmashauri ( Town engeneer)
2.Msanifu Majengo ( Architect )
3. Mkadiriaji wa majengo ( Quantinty surveyor)
4. Katibu Muhutasi ( Personal secretary)
5. Msaidizi wa Ofisi ( Office Assistant)
MAFANIKIO YA IDARA
Idara ya ujenzi imefanikiwa mambo yafuatayo :-
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0767633415
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa