Monday 30th, December 2024
@IRINGA
Afisa Elimu-Elimu maalumu katika Halmashauri ya mji Makambako akiwa na wanafunzi wenye mahitaji maalumu(viziwi) na walimu wao katika shule ya msingi Kahawa, wakiwa kwenye maandalizi ya kwenda kwenye kongamano la viziwi kitaifa Iringa
Kongamano hilo lenye kauli mbiu ya 'HAKI KAMILIFU KWA LUGHA YA ALAMA'
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa