Thursday 19th, September 2024
@MAKAMBAKO TOWN COUNCIL HQ OFFICES, SIGRID STREET
Zoezi la uhakiki wa wastaafu wanaolipwa pensheni na Hazina litafanyika Makambako katika ofisi ya Halmashauri ya Mji Makambako mtaa wa Sigrid.
Wahusika wanaombwa wafike Jumatatu tarehe 25.01.2021 asubuhi bila kukosa na vitu vifuatavyo
1.Kitambulisho cha NIDA au Mpiga Kura au Kadi ya Bima ya afya au Hati ya kusafiria au Leseni ya udereva
2.Barua ya Kustaafu au kustaafishwa
3.Barua ya Tunzo ya Kustaafu au Kitambulisho cha Kustaafu
4.Kadi ya Benk anayopokelea pensheni
Zoezi ni la Siku 5 kuanzia Jumatatu tarehe 25.01.2021 mpaka tarehe 29.01.2021
UKISIKIA TAARIFA HII FAHAMISHA NA WENGINE
Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Mji Makambako.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa