• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Asas ajenga madarasa mawili shule ya Msingi Magegele

Tarehe iliyowekwa: July 15th, 2022

Na. Lina Sanga

Asas  mjumbe wa NEC wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa iringa amejenga madarasa mawili katika shule ya msingi Magegele ili kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani.

Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Makambako,Mhe. Deo Kasenyenda Sanga leo wakati wa ziara ya ukaguzi wa madarasa hayo katika shule hiyo.

Amesema kuwa ujenzi wa madarasa ni moja ya kipaumbele chake hata kabla ya kuwa diwani na Mbunge wa Jimbo la Makambako,hivyo baada ya kupokea taarifa za idadi ya wanafunzi katika shule hiyo na idadi ya madarasa yaliyopo ilimemlazimu kufanya jitihada za kumtafuta Asas ili aweze kusaidia katika ujenzi wa madarasa.

         Madasara mawili yaliyojengwa na Asas

"Awali nilipoongea na Asas alisema atajenga darasa moja lakini nilimshawishi kutujengea madarasa mawili na alikubali na ndiyo haya madarasa tunayoyaona leo ambayo yapo katika hatua ya ukamilishaji,ili watoto wetu wasome vizuri",alisema Mhe  Sanga.


Ameongeza kuwa katika shule ya Msingi Magegele, jumla ya madarasa manne, ofisi moja na choo cha walimu amejenga yeye tangu shule hiyo inaanza mwaka 2014 hadi sasa na bado ataendelea kujenga madarasa kwani ni utamaduni wake.


Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako,Kenneth Haule ametoa shukurani za dhati kwa Mbunge wa Jimbo la Makambako kwa jitihada mbalimbali anazozifanya za kuhakikisha Mji wa Makambako unajengeka,lakini pia kuwarahisishia watendaji wote wa Halmashauri ya Mji Makambako kwa kupokea maombi mbalimbali yanayohitaji utekelezaji ngazi za juu kwa haraka na kuhakikisha yanatekelezwa.

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako, Bw. Kenneth K. Haule

Aidha,Haule ametoa shukurani kwa Asas kwa ujenzi wa madarasa mawili katika shule ya Msingi magegele kwani shule hiyo yenye jumla ya wanafunxi 1,883 inakabiliwa na msongamano mkubwa wa wanafunzi madarasani.

Ujenzi wa madarasa hayo  mawili umegharimu jumla ya Shilingi mil 17.05 na kwa sasa ujenzi upo katika hatua ya ukamilishaji.

Matangazo

  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 13 April 19, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 12. April 20, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 11. April 21, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 10. April 22, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • Wataalamu na viongozi watakiwa kusimamia upatikanaji na utoaji wa huduma za chanjo.

    April 25, 2025
  • Makambako yang'ara katika tuzo za Afya ya Usafi wa Mazingira ngazi ya Halmashauri za Miji.

    April 09, 2025
  • Jumla ya Miti 15,000 kupandwa Halmashauri ya Mji Makambako kuelekea siku ya Miti duniani mwaka 2025.

    March 15, 2025
  • Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 2025 Mkoa wa Njombe, Mila kandamizi zaelezwa kuwa kikwazo cha ustawi na uwezeshaji

    March 09, 2025
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa