Mwonekano katika Picha ni Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Makambako mara baada ya kura Kiapo chao cha Udiwani kwaajili ya kuwatumukua wananchi kwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa kwa viongozi katika maadili ya kuwatumikia wananchi kwa ujumla katikia Baraza hilo wageni mbalimbali wamehudhuri hafla hiyo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe Marwa Lubilya ,Mkuu wa wilaya ya Njombe Bi Ruth Msafiri,Katibu Tawala wilaya Emanuely Gorge ,Mbunge wa Jimbo la Makambako Deo Sanga ,Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Makambako kama mwenyeji wa Baraza hilo viongozi mbalimbali wa chama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi kwa ujumla ambapo wote kwa pamoja Wamesisitiza Madiwani hao kufanya kazi kwa weledi kwajili ya wananchi na Nchi kwa ujumla .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa