• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

CHADEMA tawi la Magegele wampongeza Mama Samia Suluhu Hassan wasema anaupiga mwingi

Tarehe iliyowekwa: July 22nd, 2022

Na. Lina Sanga

Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),tawi la Magegele wampongeza mama samia kwa kuupiga mwingi kwenye miradi ya maendeleo inayofanyika nchini na kuunganisha vyama vya siasa nchini.

Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mwenezi wa CHADEMA tawi la Magegele,Braiveth Kiwovele katika mkutano wa hadhara wa Mbunge wa jimbo la Makambako,Mhe. Deo Kasenyenda Sanga uliofanyika katika ofisi ya Mtaa wa Magegele.

Kiwovele amesema kuwa wanampongeza Mhe. Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani tangu aingie madarakani amefanya mambo makubwa ikiwa ni pamoja na kuunganisha vyama vya siasa nchini.

Amesema kuwa watanzania waligawanyika makundi zaidi ya manne lakini Mama Samia amerekebisha na sasa watanzania wote wanakaa pamoja,hivyo CHADEMA tawi la Magegele wanampongeza kwani kazi ya kuunganisha vyama vya siasa sio kazi rahisi.

Ametoa rai kwa Mbunge wa jimbo la Makambako kufikisha salamu hizo kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan na wanamuombea mafanikio katika kazi zake lakini wanaomba suala la Katiba mpya lipewe uzito mkubwa ili waendelee kumpongeza zaidi.

Ziara ya Mbunge inaendelea katika Kata,Mitaa na Vijiji vyote vilivyopo katika Halmashauri ya Mji Makambako kwa ajili ya kuzungumza na  wananchi,kusikiliza kero zao pamoja na kutoa jumbe mbalimbali za Serikali kama bajeti ya mwaka 2022/2023,Sensa ya watu na Makazi,Mbolea ya ruzuku na chanjo ya Uviko 19.

Katika bajeti ya Serikali ya Mwaka 2022 Halmashauri ya Mji Makambako imepata jumla ya shilingi Bil. 42 kwa ajili ya Mradi wa Maji,Fedha kwa ajili ya miundombinu ya shule na Afya.

Matangazo

  • Kuitwa Kwenye Usaili septemba,2025 September 04, 2025
  • Tangazo la kazi 2024 March 11, 2024
  • Mkutano wa uhamasishaji zoezi la urasimishaji Kata ya Kitisi na Majengo juni 27 - 29,2024 May 28, 2024
  • Mkutano wa uhamasishaji zoezi la urasimishaji Kata ya Mjimwema May 28, 2024
  • Fungua

Habari Mpya

  • Mil. 350.8 za Mikopo ya 10% zimetolewa kwa vikundi 30 Halmashauri ya Mji Makambako,DC aagiza mikopo hiyo kuwa chanzo cha utajiri.

    August 14, 2025
  • MIL 350.8 ZA MIKOPO YA 10% ZATOLEWA KWA AWAMU YA PILI KWA MWAKA 2024/2025.

    August 01, 2025
  • Wataalamu na viongozi watakiwa kusimamia upatikanaji na utoaji wa huduma za chanjo.

    April 25, 2025
  • Makambako yang'ara katika tuzo za Afya ya Usafi wa Mazingira ngazi ya Halmashauri za Miji.

    April 09, 2025
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa