Mwezeshaji katika semina ya Saratani ya Mlango wa kizazi akieleza wajumbe ni kwa namna gani Chanjo ya saratani ilivyoanza kufanya kazi :Chanjo itatolewa na watumishi wa vituo vya kutolea ghuduma za afya na huduma za mkoba Mashuleni Mwaka 2018 chanjo ilitolewa kwa wasichana waliofikisha umri wa miaka 14 ili kupata huduma kamili walengwa watahitaji kupata dozi mbili (2) ,wakati dozi ya pili itatolewa miez sita (6) mara baada ya kupata dozi ya kwanza
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa