Halmashauri ya Mji Makambako mshindi nafasi ya 3 katika kundi la Halmashauri kwenye uandaaji wa Hesabu za Mwisho Kati ya Halmashauri zote 184 Kwa Mwaka wa fedha 2020/2021.
Tuzo hizo zimetolewa leo na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa