Hongera Mheshimiwa Kassim Majaliwa kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa mara nyingine tena kuwatumikia watanzania ,Watanzania walio wengi wana Matumaini Makubwa kwa Serikali ya Awamu ya tano ,Mungu akutangulieni katika kazi ya kuwatumikia Watanzania Kwa nyanja mbalimbali .Mungu ibariki Afrika Mungu Ibariki Tanzania.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa