• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

KWA MARA YA KWANZA WAKAZI WA MTAA WA KILIMAHEWA WANUFAIKA NA FEDHA ZA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI-TASAF

Tarehe iliyowekwa: January 7th, 2022

Wakazi 34 wa Mtaa wa Kilimahewa katika Kata ya Majengo ,wamenufaika na Fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini kwa mara ya kwanza leo,tangu Mpango huo kuanzishwa Nchini ili waweze kujikwamua na wimbi la Umasikini.

Akizungumza na walengwa wa Mpango huo,Mratibu wa TASAF Mkoa wa Njombe, Bw. Mussa Selemani amewataka walengwa wote wa awamu ya tatu katika Mtaa wa Kilimahewa,kuzingatia matumizi sahihi ya fedha walizopewa,kwani ufuatiliaji utafanyika ili kuhakikisha kama fedha hizo zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa,ili baada ya miaka mitatu kila mlengwa awe na mabadiliko kuitwa masikini haipendezi.

“Ukishikwa nawe jitaidi kujikwamua,kwani umasikini ni kama kina kirefu cha maji,Serikali inapokupa fedha inakusaidia kujikwamua usizame kwenye umasikini,hivyo ni wajibu wa kila mlengwa kuhakikisha fedha hizo anatumia katika kuanzisha miradi na uhakiki utafanyika kila wakati wa malipo ili kutambua kama fedha alizopewa ametumia ipasavyo,endapo asipofikia lengo atatolewa kwenye orodha ya walengwa na kuwapa nafasi wengine waliokosa katika awamu hii ya tatu ya TASAF,” alisema Mussa.

Bw. Mussa amesema kuwa kiashiria cha Mlengwa wa TASAF kunufaika kwa fedha alizopewa ni pamoja na mabadiliko ya muonekano wake katika mavazi,hatarajii kumuona Mlengwa amevaa nguo imechanika ama anatembea bila viatu.

Naye Mratibu wa TASAF katika halmashauri ya Mji Makambako,Bi. Neema Chaula ametoa wito kwa walengwa wote wa TASAF kujitokeza kusaini baada ya Malipo,na kuanzisha miradi endelevu kama ufugaji kuku ili kuboresha maisha yao na familia zao, badala ya kunywea pombe na mambo mengine kama hayo.

Patrick Kyalawa ambaye ni Mwezeshaji,amewataka walengwa hao kuhakikisha fedha hizo zinaacha alama katika maisha yao na jamii inayowazunguka,endapo hata TASAF isipokuwepo basi alama ya kuwakwamua wananchi kutoka wimbi la umasikini ionekane.

“Fedha hizi ziwasaidie kupiga hatua katika maisha yenu,na ili uweze kupiga hatua ni lazima uweke malengo endelevu ili uweze kupata kipato endelevu uwasomeshe watoto,ujenge nyumba bora,kwani kuishi maisha duni na kuvaa mavazi chakavu,si kigezo cha kuwa Mlengwa wa TASAF,milele kwani walengwa  hubadilika hakuna walengwa wa kudumu”, alisema Kyalawa.

MWISHO

Matangazo

  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 13 April 19, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 12. April 20, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 11. April 21, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 10. April 22, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • Wataalamu na viongozi watakiwa kusimamia upatikanaji na utoaji wa huduma za chanjo.

    April 25, 2025
  • Makambako yang'ara katika tuzo za Afya ya Usafi wa Mazingira ngazi ya Halmashauri za Miji.

    April 09, 2025
  • Jumla ya Miti 15,000 kupandwa Halmashauri ya Mji Makambako kuelekea siku ya Miti duniani mwaka 2025.

    March 15, 2025
  • Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 2025 Mkoa wa Njombe, Mila kandamizi zaelezwa kuwa kikwazo cha ustawi na uwezeshaji

    March 09, 2025
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa