Picha ya pamoja katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Makambako iliyopo Mlowa ,mara baada ya kukagua miundo Mbinu Mbalimbali katika Hospitali hiyo ,Ukaguzi huo ulioongozwa na Mkuu wa wilaya ya Njombe Bi Ruthi Msafiri ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Makambako Paul Malala pamoja na Idara Mbalimbali za Halmashauri ya Mji Wa Makambako.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa