Wawezeshaji wa Mfuko wa TASAF wakimsikiliza kwa umakini mkubwa Mratibu wa TASAF Halmashauri ya Mji wa Makambako ,Neema Chaula wakati akitoa maelekezo ya zoezi la kuwahudumia walengwa zoezi ambalo hufanyika kila baada ya miezi miwili na humlazimu Mratibu kukagua Vijiji na Mitaa yote ya Halmashauri ya Mji wa Makambako ambayo inawalengwa ili tu kutizama zoezi zima je linafanyika kwa Weledi ?.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa