Pichani,ni Mafunzo ya siku tatu ya uteuzi wa wagombea kwa ngazi ya Madiwani ,Wabunge na Rais ,katika Halmashauri ya mji wa Makambako ambapo mafunzo haya yanafanyika shule ya sekondari makambako wakati huo msimamizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo ni Ndg Paul Malala , Afisa uchaguzi Yusto Nyamle pamoja na wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya kata sambamba na hilo washiriki wamepaswa kula kiapo kwa kile kinachoelezwa kuwa ni maadili na uaminifu hasa katika zoezi zima la uteuzi wa wagombea kuelekea uchaguzi mkuu octoba mwaka huu .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa