Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mtimbwe katika upokezi wa Mkuu wa wilaya ya Njombe Bi Ruth Msafiri Aliyewasili shuleni hapo pamoja na kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Njombe ,Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Makambako Paul Malala pamoja na idara mbalimbali kwa lengo la Kufungua Rasmi bweni la Wavulana shuleni hapo .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa