Sehemu ambayo inatarajiwa kujengwa jengo Maalumu kwaajili ya Mashine ya kusafishia Mazao.Mashine hiyo itarahisisha kazi ya kusafisha Mazao hayo kwa umakini wa hali ya juu kabla ya kutunza Ghalani pia kujengwa kwa mashine hiyo itakuwa ni msaada mkubwa hasa katika kuokoa muda hasa wa kusafisha Mazao mbalimbali kabla ya kuyatunza Ghalani na hatimaye kupata mazao ambayo yapo katika kiwango chenye ubora zaidi .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa