Na. Lina Sanga
Leo Juni 16, Mwenge wa uhuru umepokelewa katika mkoa wa Njombe kupitia lango la wilaya ya Ludewa - Shule ya sekondari Mavanga.
Katika Mkoa wa Njombe Mwenge wa Uhuru utapitia jumla ya Miradi 40 yenye thamani ya bil. 15.9 ambapo utaweka mawe ya msingi kwenye miradi 7 ,kufungua miradi 2, kuzindua miradi 12,kukagua miradi 12 na kutembelea miradi 7.
Katika Halmashauri ya Mji Makambako Mwenge wa Uhuru utapokelewa juni 21,2024 katika Kijiji cha Ikelu.
Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024 ni "Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Kwa Ujenzi wa Taifa endelevu".
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa