• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

TAKWIMU ZA SENSA ZITUMIKE KUBADILISHA MAISHA YA WANANCHI MKOA WA NJOMBE - RC Anthony Mtaka

Tarehe iliyowekwa: November 7th, 2022

Na. Lina Sanga 

Njombe

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe.  Anthony Mtaka amezitaka Mamlaka za Halmashauri katika  Mkoa wa Njombe kutumia takwimu za Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022  kubadilisha maisha ya wananchi.

Akizungumza na Madiwani, Wakurugenzi,Wakuu wa idara na Vitengo,Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji,Watendaji wa Kata,Mitaa na Vijiji wa  Halmashauri za Wilaya ya Njombe katika Kikao kazi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe,Mhe. Mtaka amesema kuwa Mkoa wa Njombe unaongoza kuwa na idadi ndogo ya Watu Kitaifa tofauti na Mikoa mingine hivyo takwimu hizo zitakapochambuliwa kuanzia ngazi ya Kitongoji hadi Mji zitumike ipasavyo   kupata idadi ya nguvu kazi ambayo itawezesha kubadilisha hali ya maisha ya Wananchi kwa kuwawezesha ili waweze kuzalisha na kukuza kipato chao na taifa kwa ujumla.

Amesema kuwa Mkoa wa Njombe wenye jumla ya watu 889,946 kupitia takwimu  za Sensa ambazo zina taarifa sahihi za kila mwananchi mbali na watoto,watu wenye mahitaji maalumu na wazee kuna kundi la watu wenye nguvu ya kufanya shughuli za uzalishaji na kuongeza kipato chao.

Aidha ameongeza kuwa,ipo haja ya wananchi  kubadilika na   kuamua kufanya mapinduzi ya kiuchumi kwa kuachana na dhana ya kusaidiwa na Mfuko wa Maendeleo wa kaya masikini TASAF, kwani kwa miaka ijayo anatarajia watu wakatae kuandikishwa TASAF tofauti na hali iliyopo sasa ya baadhi ya watu kujenga chuki kwa Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji kwa kutoandikishwa kama wanufaika wa TASAF.

Pia ametoa wito kwa watumishi kutojihusisha na vitendo vya ulevi na visivyoendana na maadili ya kazi kwa kutambua umuhimu wa kazi na idadi ya wasomi wenye uhitaji wa ajira hizo.

Mkoa wa Njombe kwa Mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka huu Mkoa wa Njombe una jumla ya wananchi 889,946 ambapo wanawake ni 469,413 na wanaume  ni 420,533.

Matangazo

  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 13 April 19, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 12. April 20, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 11. April 21, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 10. April 22, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • Wataalamu na viongozi watakiwa kusimamia upatikanaji na utoaji wa huduma za chanjo.

    April 25, 2025
  • Makambako yang'ara katika tuzo za Afya ya Usafi wa Mazingira ngazi ya Halmashauri za Miji.

    April 09, 2025
  • Jumla ya Miti 15,000 kupandwa Halmashauri ya Mji Makambako kuelekea siku ya Miti duniani mwaka 2025.

    March 15, 2025
  • Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 2025 Mkoa wa Njombe, Mila kandamizi zaelezwa kuwa kikwazo cha ustawi na uwezeshaji

    March 09, 2025
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa