Mwakilishi wa Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Makambako Ambaye ni Mkuu wa Idara ya uchaguzi hapa akimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako, Paulo S malala, katika Tamsha la Sanaa kwa Shule za Msingi Halmashauri ya Mji wa Makambako Tamasha ambalo limefanyika katika uwanja wa Amani .Katika maneno yake alizungumza kuwa Michezo ni Burudani ,Michezo afya ,Michezo ni Ajira, Michezo inaleta Umoja na Ushirikiano ,hivyo amewasi Idara ya Elimu Msingi katika kitengo cha Utamaduni na Michezo kuendelea kufanya Matamasha mbalimbli kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi katika masuala mbalimbali hususani ya kielimu na Ukakamavu wakati wote.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa