Pichani ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Paulo Malala na Tuzo iliyotolewa na na Bodi ya wahasibu na wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBA) Katika ufungaji bora wa hesabu katika mamlaka za serikali za Mitaa wakati wa Baraza la kikao cha Madiwani kilichofanyika mnamo tarehe 17,02,2021 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako ,ambapo mwaka 2019 Ilishika nafasi ya kwanza katika ufungaji wa hesabu hizo kitaifa na kwa mwaka 2020 ikishika nafasi ya pili kitaifa hivo hivyo katika ufungaji wa hesabu za serikali kwa mamlaka za serikali za mitaa jambo ambalo lilipelekea NBA kutoa tuzo hiyo kwa Halmashauri Ya Mji wa Makambako .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa