Mkuu wa wilaya ya Njombe Bi Ruth Msafiri ,Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Makambako Paul Malala na idara mbalimbali za Halmashauri ya Mji Makambako wakikagua Mwonekano wa ndani wa Bweni la Wavulana Mtimbwe sekondari wakati wa ufunguzi Rasmi wa Bweni hilo kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kupata elimu katika Mazingira Salama na kutimiza ndoto zao .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa