Ni Mwonekano wa jengo lenye vyumba vya madarasa na ofisi ya walimu katika shule ya msingi Azimio Halmashauri ya Mji wa Makambako ,Jengo ambalo limejengwa kwa fedha Taslimu za kitanzani shilingi Milion Arobaini ,Lengo kubwa ni kuwasaidia watoto wa kitanzania kupata elimu katika mazingira ambayo ni bora na salama wakati wote .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa