Ni Mradi wa kutengeneza Madawati ya Chuma katika Shule ya Sekondari Makambako ,Mradi ambao una lengo la kupunguza uharibifu wa Madawati ya mbao yaliyozoeleka ili kuepika uharibifu unaofanywa na Wanafunzi shuleni hapo pia viti na Meza hizo za chuma ziweze kutumika kwa muda mrefu hususani kwa wanafunzi waliopo na wa hapo baadae.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa