Pichani ni Mkuu wa Shule ya Sekondari Makambako ,Mr Fwila Pamoja na Wakaguzi kutoka Halmashauri ya Mji wa Makambako walipotembelea na Kukagua Maendeleo ya Miradi Mbalimbali shuleni hapo.Mfano Mradi wa utengezaji wa viti na Meza za Chuma , Mradi wa Ujenzi wa Matundu saba ya vyoo vya wanafunzi wa kike na chumba cha dharula kwa wanafunzi wa kike , na Ujenzi wa Jengo lenye vyumba vya Madarasa shuleni hapo.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa