Ni jengo jipya lenye vyumba vya Madarasa katika shule ya Sekondari Makambako ,Jengo ambalo limejengwa kwa jumla ,viti,na Meza za walimu kwa shiling milioni Arobani .Jengo hilo liliwekewa Mkakati wa kukamilika ndani ya miezi mitatu(3) kuanzia septemba mpaka Novemba 2020.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa