Mkuu wa wilaya ya Njombe Bi Ruthi msafiri akikagua Mradi wa vyoo vipya katika shule ya sekondari Maguvani ,vyoo ambavyo vimejengwa asilimia kubwa kwa nguvu ya wananchi kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kuwa na vyoo vyenye ubora zaidi na kulinda afya zao pindi wawapo shuleni hapo .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa