Pichani ni Dk Phillip Mpango aliyeteuliwa na Mheshimiwa Raisi kuwa Waziri wa fedha na Mipango .Mheshimiwa Rais kakupa dhamana kubwa nenda kasimamie Sera mbalimbali kwaajili ya Manufaa ya nchi yetu ,Ikumbukwe yakuwa dk Mpango alikuwa Waziri wa fedha kipindi cha Miaka Mitano ya Serikali ya awamu ya tano na sasa ameteuliewa tena katika wizara hiyo . Mungu ibariki Afrika Mungu Ibariki Tanzania
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa