• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Viongozi wa Mtaa wa Sekondari anzisheni harambee ya ufunguaji barabara-Kenneth Haule Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako.

Tarehe iliyowekwa: August 17th, 2022

Na. Lina Sanga

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako,Kenneth Haule ameuagiza uongozi wa mtaa wa Sekondari katika Kata ya Maguvani kufanya harambee ya kufungua barabara za mitaa ili urasimishaji uliofanyika uwe na tija.

Haule ametoa agizo hilo leo katika mkutano wa uzinduzi wa utoaji hatimiliki kwa wananchi wa mtaa wa Sekondari,uliofanyika Maguvani kijiweni.

Amesema kuwa,ili kuwe na tofauti kati ya Mtaa wa Sekondari uliofanyiwa urasimishaji na Mitaa mingine ambayo bado haijafikiwa na urasimishaji,lazima Mtaa huo uwe na barabara zilizopangika vizuri hivyo wananchi hawana budi kuanzisha ufunguzi wa barabara.

Pia,ametoa rai kwa wananchi kutunza mawe yaliyowekwa baada ya upimaji kwa kutambua kuwa jiwe hilo ni mali ya Serikali,hivyo kila mwananchi ana wajibu wa kulinda mawe hayo kwani endapo yakipotea anawajibu wa kutoa ripoti mapema kabla ya hatua kali za kisheria hazijachukulia dhidi yake.

“Jiwe lililopandwa kwenye kiwanja chako sio lako ni mali ya Serikali na endapo likipotea ni lako,hivyo umepewa dhamana ya kulitunza jiwe hilo na endapo likipotea toa ripoti kwa mamlaka husika haraka”,alisema Haule.

Ametoa wito kwa wananchi ambao wamepimiwa viwanja kukamilisha malipo ya kupata hati, kwani Halmashauri ya Mji Makambako ina jumla ya mitaa 54 na mitaa 23 haijafanyiwa urasimishaji,hivyo wananchi wanaomiliki ardhi Mtaa wa Sekondari na wameshapimiwa ardhi wana wajibu wa kuijengea heshima Halmashauri yote kwa kutambua thamani ya upendeleo wa kufikiwa na mradi wa MKURABITA katika Mtaa wao.

Matangazo

  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 13 April 19, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 12. April 20, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 11. April 21, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 10. April 22, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • Wataalamu na viongozi watakiwa kusimamia upatikanaji na utoaji wa huduma za chanjo.

    April 25, 2025
  • Makambako yang'ara katika tuzo za Afya ya Usafi wa Mazingira ngazi ya Halmashauri za Miji.

    April 09, 2025
  • Jumla ya Miti 15,000 kupandwa Halmashauri ya Mji Makambako kuelekea siku ya Miti duniani mwaka 2025.

    March 15, 2025
  • Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 2025 Mkoa wa Njombe, Mila kandamizi zaelezwa kuwa kikwazo cha ustawi na uwezeshaji

    March 09, 2025
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa