• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Wakurugenzi na Maafisa elimu wahudumieni walimu acheni kuwapa mamlaka masekretari kujibu kwa niaba yenu-RC Mtaka.

Tarehe iliyowekwa: September 12th, 2022

Na. Lina Sanga

Wakurugenzi na maafisa elimu wametakiwa kutowaruhusu watumishi walio chini yao,hususani masekretari kutoa majibu kwa niaba yao kwa watumishi na wananchi wanaofika kwenye ofisi zao kupata huduma hususani walimu,na endapo hawawezi kuwasikiliza walimu waache nafasi hizo ili wanaoweza kutoa huduma wapewe nafasi hizo.

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe,Mhe. Anthony Mtaka leo alipokuwa anazungumza na walimu pamoja na wadau wa elimu katika kikao cha uzinduzi wa mwongozo wa elimu,kilichofanyika shule ya Sekondari Mpechi.

Mhe. Mtaka amesema kuwa,baadhi ya watumishi na  masekretari hutoa majibu kwa watumishi hususani walimu wanapofika katika ofisi ya Mkurugenzi au Afisa elimu,ili kupata huduma mbalimbali ikiwemo changamoto wanazokumbana nazo kwenye maeneo yao ya kazi na kuwazuia kuonana na Mkurugenzi au Afisa elimu.

"Natoa rai kwa wakurugenzi na Maafisa elimu kutowaruhusu wasaidizi wenu na masekretari wenu kuwajibu watumishi hususani walimu wanapofika ofisini kwenu kupata huduma,kwani nafasi hizo sio za kudumu pindi mtapohitaji huduma izo baada ya kustaafu mtajibiwa hivyo hivyo na masekretari wenu au kukutana na watumishi mnaowafanyia hayo wakiwa nafasi za juu kuliko nyinyi",amesema Mhe. Mtaka.

Pia ametoa wito kwa Walimu kufika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wanapohitaji msaada au huduma mbalimbali  kwani ofisi hiyo ni yao na sio lazima watoe taarifa ya kufika ofisini hapo.

Matangazo

  • Tangazo la kujiunga jeshi la kujenga Taifa JKT 2023 September 01, 2023
  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili wa Wasimamizi, Maafisa TEHAMA na Makarani wa Zoezi la Sensa, Makambako TC July 18, 2022
  • Matokeo ya usaili wa mahojiano kwa nafasi ya Mtekinolojia dawa daraja II November 25, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022. December 01, 2022
  • Fungua

Habari Mpya

  • Ziara ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji Makambako Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.

    September 05, 2023
  • Kamati ya Siasa Wilaya ya Njombe,yapongeza utekelezaji wa mradi wa maghala 112 Makambako.

    August 24, 2023
  • Elimu ya watu wazima ianze kutolewa Shule ya Msingi Mfumbi.

    August 24, 2023
  • Wananchi waishauri Serikali kuongeza Polisi Kata kukabiliana na uhalifu,TANESCO Makambako yaahidi kukamilisha mradi wa umeme nyumba 400 Kilimahewa.

    August 16, 2023
  • Fungua

Video

TEHAMA ni Msingi wa Taifa Endelevu, Tuitumie kwa Usahihi na Uwajibikaji . Makambako TC, 2021
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa