• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Wakuu wa Mikoa hakikisheni Maafisa elimu kata wanapewa pikipiki zao-Mhe.Bashungwa

Tarehe iliyowekwa: May 13th, 2022

Na.Lina Sanga

Tanga

Wakuu wa Mikoa wametakiwa kusimamia utaratibu wa ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa elimu Kata wote Nchini,na kuhakikisha wanapata pikipiki hizo pasipo kujali uwezo wao wa kuendesha vyombo.

Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI,Mhe. Innocent Bashungwa leo wakati wa kufunga kikao kazi cha 17 cha Maafisa habari,Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali mkoani Tanga.

Mhe. Bashungwa amesema kuwa wapo baadhi ya maafisa elimu wamezuia  maafisa elimu kata, wasiokuwa na uwezo wa kuendesha pikipiki  kukabidhiwa pikipiki zao kinyume na utaratibu,hivyo  amewaagiza Wakuu wote wa Mikoa Nchini kusimamia zoezi la ugawaji wa pikipiki na Maafisa elimu Kata waruhusiwe kutafuta madereva wanao waamini wawaendeshe.

Wakati huo huo Mhe. Bashungwa amewataka Maafisa habari,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kutekeleza majukumu yao licha ya changamoto za ukosefu wa vifaa na bajeti zinazowakabili,Ofisi ya Rais Tamisemi kwa kushirikiana na Ofisi ya Utumishi kupitia Makatibu wakuu  watatafuta fedha kwa ajili ya vifaa na kutambua umuhimu wa maafisa hao katika utendaji kazi wa Serikali.

Aidha amewataka Maafisa habari wa Serikali kutumia mbinu mbalimbali walizofundishwa kwenye kikao hicho,kwa kuleta mabadiliko kwenye utendaji wao wa kazi lakini pia kutokaa kimya katika utoaji wa taarifa kwa Umma kwa Wakati na kujibu hoja mbalimbali zinazotolewa na wananchi.

Mwisho amewataka Maafisa habari wote Nchini kuendelea  kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa zoezi la Sensa ya watu na makazi,kwa  kuhakikisha kila mwananchi makazi yake yanasomeka kwenye mfumo wa anwani za makazi,lakini pia kila mwananchi ajiandae kushiriki zoezi la Sensa ya Watu na makazi Mwezi agosti 23,2022 ili Serikali iweze kupata takwimu sahihi ya watu na makazi.

#Jiandae kuhesabiwa

Matangazo

  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 13 April 19, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 12. April 20, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 11. April 21, 2025
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru 2025, bado siku 10. April 22, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • Wataalamu na viongozi watakiwa kusimamia upatikanaji na utoaji wa huduma za chanjo.

    April 25, 2025
  • Makambako yang'ara katika tuzo za Afya ya Usafi wa Mazingira ngazi ya Halmashauri za Miji.

    April 09, 2025
  • Jumla ya Miti 15,000 kupandwa Halmashauri ya Mji Makambako kuelekea siku ya Miti duniani mwaka 2025.

    March 15, 2025
  • Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 2025 Mkoa wa Njombe, Mila kandamizi zaelezwa kuwa kikwazo cha ustawi na uwezeshaji

    March 09, 2025
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa