Katika picha ni walengwa na wanufaika na Mfuko wa TASAF Kata ya kitisi ,Halmashauri ya Mji wa Makambako wakisubir kupata huduma kwa wawezeshaji wa mfuko huo Lengo hasa ni kuwainua japo kwa kidogo watakachopewa ili tu waweze kujikimu katika kaya zao zoezi hili hufanyika kila mara baada ya miezi miwili hasa kwa wale waliohakikiwa na kuwa na sifa za kuwa mwanachama wa Mfuko huo wa TASAF.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa