Pichani ni mwezeshaji wa walengwa wa mfuko wa TASAF Hassan Abdala akiwa na mtendaji wa kijiji cha Mawande Lucy Msuva Halmashauri ya Mji wa Makambako wakati wakijiandaa kutoa huduma kwa walengwa zoezi ambalo hufanyika kila baada ya miezi miwili kwa lengo la kusaidia kaya maskini ili waweze kujikimu kimaisha.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa