Pichani ni Afisa elimu sekondari Halmashauri ya mji wa Makambako Mwalimu Agnes akiwapitisha wanafunzi wakidato cha tano na sita ndani ya Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako yenye hadhi ya kiwilaya iliyopo Mlowa ili wajue kuwa serikali imewekeza sana katika sekta ya afya kwa lengo la kuwasidia watanzania katika kupata huduma za afya na wanafunzi wa sasa ndio tegemeo la kesho katika ufanyaji kazi kwenye taasisi za umma hapo badae hivyo wanatakiwa kujitoa mhanga katika kupigania ndoto zao .
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa