• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na maliasili
      • Raslimali watu na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Usafi na mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi na Uokoaji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo, Ushirika na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
    • Vitengo
      • Sheria
      • ICT and Public relations
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti mbalimbali
    • Mikataba
    • Mpango Mkakati
    • Hatua
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio
    • jarida la mji

Zingatieni ubora kabla ya kupitisha malipo - Kenneth Haule,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako.

Tarehe iliyowekwa: March 31st, 2024

Na. Lina Sanga

Kenneth Haule,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako ,jana machi 30,2024 alifanya ziara na kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF katika kijiji cha Usetule,Ibatu,Mtaa wa Ubena,Mtaa wa Ikwete na Kijiji cha Ngamanga.

Katika ziara hiyo,Haule aliwaagiza kamati za Vijiji na Mitaa zinazosimamia miradi hiyo, kuhakikisha wanasimamia vizuri miradi hiyo kuanzia ununuzi wa vifaa,mapokezi na malipo ya fundi kwa kutoridhia malipo endapo vifaa havina ubora au fundi kujenga chini ya kiwango hadi marekebisho yatakapofanyika.

Aidha,amezipongeza Kamati hizo pamoja na wananchi kwa kushiriki na kuimiliki miradi hiyo katika maeneo yao na kuhakikisha inatekelezwa kwa viwango vinavyokubalika na kupunguza maswali.

Miradi iliyokaguliwa ni  ujenzi wa madarasa 6 na matundu 12 ya vyoo katika shule ya Msingi Magomati iliyopo katika kijiji cha Usetule katika Kata ya Mahongole,ujenzi wa madarasa 3 na matundu ya vyoo 6 shule ya Msingi Ubena,Ujenzi wa nyumba pacha ya watumishi  katika zahanati ya Ikwete Katika Kata ya Lyamkena,ujenzi wa nyumba pacha ya watumishu katika zahanati ya Ngamanga katika Kata ya Utengule na nyumba pacha ya watumishi katika zahanati ya Ibatu katika Kata ya Kitandililo.

Matangazo

  • Ujio wa Madaktari bingwa Hospitali ya Mji Makambako (Mlowa) September 17, 2025
  • Tangazo la kazi 2024 March 11, 2024
  • Mkutano wa uhamasishaji zoezi la urasimishaji Kata ya Kitisi na Majengo juni 27 - 29,2024 May 28, 2024
  • Mkutano wa uhamasishaji zoezi la urasimishaji Kata ya Mjimwema May 28, 2024
  • Fungua

Habari Mpya

  • Bodi ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere yatembelea eneo la ujenzi wa chuo hicho Makambako, Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa hususani ujenzi wa hosteli

    October 21, 2025
  • Kliniki ya ardhi yazinduliwa Mtaa wa Ilangamoto,nidhamu ya upangaji ardhi na utunzaji wa hati wasisitizwa

    October 13, 2025
  • Tuwasaidie wenye mahitaji maalum kushiriki uchaguzi 2025

    October 03, 2025
  • Kambi ya madaktari bingwa,yawapunguzia gharama wagonjwa

    September 25, 2025
  • Fungua

Video

Shule mpya ya Mbugani Kitandililo sekondari kupitia mradi wa SEQUIP
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fursa za Usafirishaji
  • Orodha ya Madiwani
  • Uzalishaji wa Umeme wa Upepo
  • Organisation Structure
  • Fursa za Biashara
  • By Laws
  • Permanent Committee

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu ya Rais
  • Tovuti ya Ofisi ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Open Data Tanzania

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Makambako Town Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako

    Simu ya mezani: 026-2730044

    Simu ya Kiganjani: 0785635383

    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa