Tarehe iliyowekwa: March 15th, 2025
Na. Tanessa Lyimo
Halmashauri ya Mji Makambako kwa kushirikiana na wananchi, imeanza maadhimisho ya siku ya upandaji miti kwa kupanda miti katika Kata ya Mahongole kwa kupanda jumla ya miti 11,000 ...
Tarehe iliyowekwa: March 9th, 2025
Mabadiliko ya baadhi ya mila katika jamii hasa zinamkandamiza mwanamke na kumpa mwanaume kipaumbele hususani katika suala la umiliki wa ardhi, yanahitajika ili kutoa nafasi saw...
Tarehe iliyowekwa: March 7th, 2025
Na .Tanessa Lyimo
Wanawake wametakiwa kuendelea kuongeza jitihada za kujiletea maendeleo , wakati Serikali ikifanya juhudi za kutengeneza fursa kwa ajili ya wananchi na kuwa na udhubutu wa kugombea...