Tarehe iliyowekwa: September 14th, 2020
Wamejifunza kitu katika ziara hiyo ya kuwa hata watumishi mbalimbali wa sekta za Umma na Binafsi walikuwa Wanafunzi kama wao hivyo hawana budi kusoma kwa bidi na kupigania ndoto zao kwa Weledi Mkubwa ...
Tarehe iliyowekwa: September 14th, 2020
Wanafunzi wakisiliza kwa Makini maneno ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Makambako,DK Alexzandra Mchome katika ziara Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako iliyopo Mlowa ...