Tarehe iliyowekwa: July 15th, 2024
Na. Lina Sanga
Uongozi wa Halmashauri ya Mji Makambako umetoa wito kwa wamiliki wa mashine za kusaga sembe, kununua viwanja vilivyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya viwanda vidogo eneo la majengo ...
Tarehe iliyowekwa: July 9th, 2024
Na. Lina Sanga
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka amewataka wafanyabiashara 112 wenye maghala na vizimba kurudi soko la mazao la Kiumba kuendelea na biashara ili kuwavutia wafanyabiashara w...