Tarehe iliyowekwa: September 2nd, 2020
Mkuu wa wilaya ya Njombe Bi Ruthi msafiri akikagua Mradi wa vyoo vipya katika shule ya sekondari Maguvani ,vyoo ambavyo vimejengwa asilimia kubwa kwa nguvu ya wananchi kwa lengo la kuwasaidi...
Tarehe iliyowekwa: September 2nd, 2020
Kamati ya ulinzi na Usalama wilaya hawakuwa nyuma wakati wa Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Njombe bi Ruth Msafiri, kukagua Miradi mbalimbali ya Halmashauri ya Mji Makambako nini kinoneshwa kat...
Tarehe iliyowekwa: September 2nd, 2020
Mkuu wa wilaya ya Njombe bi Ruth Msafiri pichani Akisikiliza Risala Fupi katika Ofisi za kuhifadhi Chakula zilizopo Halmashauri ya Mji wa Makambako , wakati wa ukaguzi wa Ghala la kuhifadhi chakula, K...