Tarehe iliyowekwa: March 6th, 2024
Na. Lina Sanga
Rai hiyo imetolewa leo na Mhe. Imani Fute,Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Makambako katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 2024 ngazi ya Halmashauri yaliyofanyika leo...
Tarehe iliyowekwa: March 2nd, 2024
Na.Lina Sanga
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Makambako leo,limeidhinisha rasimu ya mpango na bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 yenye jumla ya bil. 28.75 ambayo Ha...
Tarehe iliyowekwa: March 2nd, 2024
Na. Lina Sanga
Halmashauri ya Mji Makambako hadi kufikia mwezi juni,2023 imefanikiwa kukusanya bil. 28.55 ya fedha zilizoidhinishwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023, ambapo mapato...