Tarehe iliyowekwa: January 5th, 2023
Na. Lina Sanga
Njombe
Waziri wa Uwekezaji,Biashara na Viwanda, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa rai kwa Halmashauri zote nchini kuhakikisha sheria ndogo za Halmashauri zinazotungwa , kwa ajili ya ...
Tarehe iliyowekwa: December 28th, 2022
Na. Lina Sanga
Wananchi wa Kijiji cha Ikelu.Kata ya Utengule katika Halmashauri ya Mji Makambako wameishukuru Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa kutoa fedha zaidi ya Mil 264, ...
Tarehe iliyowekwa: December 27th, 2022
Na. Lina Sanga
Bi. Alatwimika Mlawa,mkazi wa Kitongoji cha Isaula katika Kijiji cha Ibatu,Kata ya Kitandililo ameishukuru Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya jamii –TASAF,kwa kumuwezesha fedha n...