Tarehe iliyowekwa: May 1st, 2023
Na. Lina Sanga
Mkoa wa Njombe leo umekabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Iringa,baada ya kukimbiza katika Halmashauri sita za Mkoa wa Njombe tangu aprili 25 hadi aprili 30,2023.
Mkoa wa Njombe mnamo...
Tarehe iliyowekwa: April 30th, 2023
Na. Lina Sanga
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 ,zimeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Mji makambako,ikiwa ni pamoja na miradi inayotekelezwa na Serikali na watu bin...
Tarehe iliyowekwa: April 25th, 2023
Na. Lina Sanga
Ludewa
Mwenge wa Uhuru 2023 umepokelewa leo katika Mkoa wa Njombe kutoka Mkoa wa Ruvuma, na utakimbizwa katika Halmashauri 6 za Mkoa huo kwa umbali wa 517KM na kutembelea,kukagua ...