Tarehe iliyowekwa: June 18th, 2024
Na. Lina Sanga
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Mji Makambako leo limeiomba ofisi ya Mkuu wa Mkoa kutengua kauli ya kuwaruhusu wafanyabiashara wa mazao kufanyia biashara nje ya soko mahususi kw...
Tarehe iliyowekwa: June 16th, 2024
Na. Lina Sanga
Leo Juni 16, Mwenge wa uhuru umepokelewa katika mkoa wa Njombe kupitia lango la wilaya ya Ludewa - Shule ya sekondari Mavanga.
Katika Mkoa wa Njombe Mwenge wa Uhuru utapitia jumla...
Tarehe iliyowekwa: June 15th, 2024
Na. Lina Sanga
Dar es salaam
Taarifa hiyo imetolewa na Bw. Ramadhani Kailima, Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi leo,katika kikao kazi na Maafisa habari wa Mikoa na Halmashauri nchini,...