Tarehe iliyowekwa: July 25th, 2024
Na. Lina Sanga
Uongozi ngazi ya Kata,Mitaa na Vijiji umetakiwa kuhakikisha maeneo yote ya huduma za jamii yanapimwa na kuwa na hati miliki ili kuepuka migogoro ya ardhi.
Rai hiyo imetolewa leo n...
Tarehe iliyowekwa: July 15th, 2024
Na. Lina Sanga
Uongozi wa Halmashauri ya Mji Makambako umetoa wito kwa wamiliki wa mashine za kusaga sembe, kununua viwanja vilivyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya viwanda vidogo eneo la majengo ...