Tarehe iliyowekwa: May 18th, 2021
Tayari kwa mpambano ,ni zoezi la kuchagua wachezaji watakao iwakilisha Halmashauri ya Mji wa Makambako katika mpira wa miguu kwa ngazi ya Mkoa UMITASHUMTA 2021...
Tarehe iliyowekwa: May 18th, 2021
Mapambano ndani ya Uwanja katika shule ya msingi Makambako kwaajili ya kuchagua wale ambao wataiwakilisha Halmashauri ya Mji wa Makambako kwa ngazi ya Mkoa UMITASHUMTA 2021 Katika Mchezo wa Mpira wa M...
Tarehe iliyowekwa: May 18th, 2021
Wanafunzi wa kike na hawakuwa nyuma kusikiliza maelekezo ya Mwalimu wao wa michezo hususani masuala ya mpira wa mikono yaani ( Netball) siku ya ufunguaji rasmi wa Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule...