Mradi wa ujenzi wa vibanda vya Biashara unatekelezwa kwa ubia kati ya wananchi na Halmashauri ya Mji Makambako. Mwananchi atakijenga kibanda na kukitumia hadi mkataba wake utakapoisha na atatakiwa kukirudisha kibanda hicho kwa Halmashauri. Baadaye atakuwa mpangaji kama atapenda kuendelea na mkataba mpya.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa