Mradi wa madarasa mawili (A) ukiwa hatua ya kuchimba msingi tarehe 3/11/2021
Mradi wa madarasa mawili (B) ukiwa katika hatua ya kuchimba msingi tarehe 3/11/2021
Mradi wa madarasa mawili (B) ukiwa hatua ya kupandisha kuta tarehe 20/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili (A) hatua ya upandishaji kuta umekamilika 14/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili (B) ukiwa hatua ya lenta 23/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili (B) hatua ya upandishaji kuta umekamilika 25/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili (B) ukiwa hatua ya kuezeka 26/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili (A) ukiwa hatua ya kuezeka 27/11/2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili (B) , hatua ya mradi kwa sasa upigaji lipu na kupaua umekamilika 12.12.2021
Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili (A) , hatua ya mradi kwa sasa upigaji lipu na kupaua umekamilika 12.12.2021
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0785635383
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa